Google ;Kampuni yenye thamani zaidi duniani
Google yatambulika kuwa bidhaa yenye thamani zaidi kulingana na
shirika la fedha la kufanyia uıkaguzi wa
shirika la fedha la kufanyia uıkaguzi wa
thamani ya bidhaa za kimataifa .
Kwa mujibu wa ripoti waliotoa ni kuwa Google imeongezeka thamani kwa asilimia 24 na kuwa na dola
bilioni 109.5 ikilinganishwa na mwaka jana ambapo ilikuwa na bilioni 88.2 za dola .
Google imeiacha Apple nyuma baada ya kushuka thamani kwa asilimia 27 .
Google imebakia kuwa kampuni ambayo inaendelea kushinda ikilinganishwa na makampuni
mengine ya kimataifa .
Google ;Kampuni yenye thamani zaidi duniani
Reviewed by Unknown
on
Februari 05, 2017
Rating:
Post a Comment