USB Flash drives zimekuwa zikitumika kama moja ya njia rahisi na ya haraka ya kuhamishia mafaili kutoka katika kompyuta moja kwenda nyingine, wengine wamekuwa wakizitumia kama sehemu ya diski hifadhi zao kwa ajili ya kutunza kumbukumbu.Kutokana na ushindani wa kibiashara katika kutengeneza bidhaa hizi makampuni
yanayotengeneza flash yameamua kuja na maumbo tofauti ili kumfurahisha mtumiaji wake. Leo swahilitech inakuletea picha za maumbo 14 ya USB Flash Drives ya kustaajabisha zaidi.

dashboard_flash_SwahiliTech1. Flash yenye umbo la Opena na unaweza tumia kufungulia chupa muda wowote

opena

2. Flash yenye umbo la kufuli.

Umbo la kufuli

3. Flash yenye umbo la duara.

umbo la duara

4. Flash yenye umbo la nyaya zilizokatwa.

waya uli katika

5. Flash yenye umbo la bomba la shindano, Flash hii nadhani inawafaa watu kwenye kada ya Afya zaidi.

sindano

6. Flash yenye umbo la kidole kilichokatika, si nzuri kwenda nayo kijijini unaweza pigwa kwa kuhisiwa umechinja mtu.

kidole

7. Flash yenye umbo la kizibo cha wine za chupa.

kizibo cha wine

8. Flash yenye umbo la Jogoo aliyejifia na kukauka.

kuku wa plastiki

9. Flash yenye muonekano wa NINJA

ninja

10. Flash yenye muonekano wa karatasi gumu,inakunyika na ninyepesi zaidi.

karatasingumu

11. Flash yenye muonekano wa Chocolate.

chukulet

12. Falsh yenye muonekano wa funguo

funguo

13. Flash yenye muonekano kama mkanda wa kamera.

film

14. Flash yenye muonekano wa chuma kigumu.

cocrete

Toa maoni yako