Header AD

Haya ni Maswali ya kumuuliza mpenzi wako, ya kuchekesha & kufurahisha


Leo nimekuletea maswali unayotakiwa kumuuliza  mpenzi wako mkiwa mko mmekaa jioni , au katika mapumziko yenu, lakini uwe makini hapa kuna wengine hawapendi umdadisi, ile kuna wengine ni waelewa  na watakuelewa. mwanaume  mwenye kukupenda atakuelewa.
Maswali yapo kama ifuatvyo;
..Unakumbuka nini cha utotoni ambacho uliwahi   kufanya?
..kwenye hii tamthilia unampenda mwigizaji gani?
3.nafikiri nimepoteza namba yangu ya simu , naweza chukua ya kwako?
..ni kipi kinachoweza kukufanya ucheke zaidi katika maisha yako?
..kwa mfano wewe ungekuwa muhudumu  ungechagua watu  wa jinsia gani wa kuwahudumia ?
..umewahi kutuma maombi ya urafiki kwa rafiki wa kike?
..kabla ya mimi umewahi kuwa na nani?
.. je unaweza kukosa kitu unachokipenda  kwa ajili yangu?
..kama ukijikuta umeangukia kwa mwanamke , utaitumiaje hio siku wewe kama wewe?
..wewe ni wangu?
.. unaamini kama kuna mungu?
..unawezaje kumjua mtu kama ni rafiki wa kweli?
..Unapenda kuwa smart au ni vyovyote tu?
..je unaweza kukaa na mtu usiempenda?
..Unajisikiaje unapokuwa na mimi?
.. Utamjuaje mchumba wa kweli?
..Unatafuta kitu gani kwa msichana?
..Utajielezeaje wewe mwenyewe?
..je, utaweza kunielezea mimi?
..Kuna tatizo gani umewahi kukumbana nalo?
..ni mzuri au ni mbaya?
..umewahi kumwacha msichana?
..umewahi kujihusisha na kitu chochote kibaya?
..busu la kwanza kabisa ulimbusu nani?
..ulifanikiwa?
.. Unapenda staili ipi ya mapenzi?kitandani.
.. Tamthilia ipi unaipenda?
..Unapenda chakula gani?
..unapenda rangi gani?
..unapenda mziki gani ?
..ukiwa mtoto ulikulia wapi?
..Ulipendelea kucheza mchezo gani wakati wa utoto?
.. unashangilia timu gani ya mpira?
..mwigizaji gani unamkubali sana duniani?
.. tamthilia ipi ni nzuri?
..unawafurahia marafiki zangu?
..unaipenda kazi yako?
..unategemea kubadilisha nininkatika maisha yako?
..Kuna kitu chochote ambacho huwa nakuudhi hata kama ni cha kijinga ambacho hujawahi kujaribu kuniambia?

 itaendelea..... 

CREDIT: EdoneTZ
Haya ni Maswali ya kumuuliza mpenzi wako, ya kuchekesha & kufurahisha Haya ni Maswali ya kumuuliza mpenzi wako, ya kuchekesha & kufurahisha Reviewed by Unknown on Januari 24, 2017 Rating: 5

Maoni 1

Post AD

Propellerads