TECHNOLOGY#PICHA 6: China wamekamilisha daraja hili ambalo linapita juu zaidi kuliko yote duniani
Nchi ya China imezidi kuwa kwenye headlines kwenye ishu za madaraja na kwa taarifa tu ni kwamba katika Top 10 ya madaraja marefu duniani
nane yanatoka China na karibu yote yamejengwa mikoa ya mbali ambayo iko kwenye milima.
nane yanatoka China na karibu yote yamejengwa mikoa ya mbali ambayo iko kwenye milima.
September 10 2016 China wamekamilisha ujenzi wa daraja la Beipanjiang ambalo linapita kwenye milima. Daraja la Beipanjiang ambalo limejengwa juu zaidi kiasi cha futi 1,850 kutoka kwenye ardhi limechukua miaka mitatu mpaka Juzi September 10 2016 lilipokamilika.
TECHNOLOGY#PICHA 6: China wamekamilisha daraja hili ambalo linapita juu zaidi kuliko yote duniani
Reviewed by Unknown
on
Septemba 12, 2016
Rating:
Post a Comment