Header AD

Trey Songz amzunguzia Vanessa Mdee na jinsi alivyomkubali



Trey Songz amefunguka kuhusu kufanya kazi na Vanessa Mdee wakati akijibu swali la shabiki.

Wakati akijibu swali hilo muimbaji huyo wa Marekani amesema wametengeneza wimbo mzuri pamoja.

“Vanessa is great, we got a great song together, has a great chemistry, she loves to laugh and joke even when we was performing having a good time,” alisema.

Kuna uwezekano mkubwa Vanessa na Trey Songz wakataka kutengeneza wimbo wa pamoja nje ya Coke Studio.
==
Trey Songz amzunguzia Vanessa Mdee na jinsi alivyomkubali Trey Songz amzunguzia Vanessa Mdee na jinsi alivyomkubali Reviewed by Unknown on Septemba 26, 2016 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads