Wananchi wa Zambia wakiwa kwenye foleni ya kuingia kwenye Uwanja wa Mashujaa Jijini Lusaka tayari kwa Shamrashamra za kuapishwa Rais Edgar Lungu wa nchini hiyo muda huu. Makamu wa Rais, Mh. Samira Suluhu Hassan atamwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Sherehe hiyo.
Wengi wajitokeza kushuhudia Rais wao akiapishwa.
WANANCHI WA ZAMBIA WAANZA KUFURIKA UWANJA WA MASHUJAA MJINI LUSAKA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WAO EDGAR LUNGU
Reviewed by Unknown
on
Septemba 13, 2016
Rating: 5
. “When we least expect it, life sets us a challenge to test our courage and willingness to change; at such a moment, there is no point in pretending that nothing has happened or in saying that we are not yet ready. The challenge will not wait. Life does not look back. A week is more than enough time for us to decide whether or not to accept our destiny.”
Post a Comment