Unaikumbuka ile movie ya Transformer? Waturuki watengeneza gari linalofanana na maroboti ya katika transformer
Kama wewe ni mpenzi wa muvi utakuwa ushaelewa hapa nini najaribu kuzunguzia. Katika muvi za Transformer magari yanageuka kuwa maroboti yenye uwezo wa kutembea na kufanya mambo mengi.
Kampuni moja ya kituruki inayofahamika kama Letvision imetengeneza moja ya magari yanayofanana kabisa na yale ya katika muvi za Transformer walilolipa jina la Letrons kutoka katika series ya magari ya BMW Series 3.
Lilitengenezwa kwa miezi 8 na timu ya wahandisi 12 na wasaidizi 4 tuu. Angalia video yake hapa kufahamu zaidi.
Unaikumbuka ile movie ya Transformer? Waturuki watengeneza gari linalofanana na maroboti ya katika transformer
Reviewed by Unknown
on
Oktoba 28, 2016
Rating:
Post a Comment