DROGBA akubali kulipwa Dola laki 1.5 kwa mwezi ili kusaini mkataba na klabu ya Corinthians
Didier Drogba akubali kusaini mkataba wa miezi 12 kuitumikia klabu ya Corinthians ya nchini brazil kwa malipo ya dola za kimarekani laki 1.5 kwa mwezi.
Drogba ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 38 ameweka wazi dhima yake ya kuendelea na soka nchini Brazil baada ya kumaliza mkataba wake na timu ya MLS side Montreal mwishoni wa desemba 2016
DROGBA akubali kulipwa Dola laki 1.5 kwa mwezi ili kusaini mkataba na klabu ya Corinthians
Reviewed by Unknown
on
Januari 13, 2017
Rating:
Post a Comment