John McAfee aelezea jinsi ya kudukua iPhone au Kompyuta yoyote kwa dk. 30 tu
Mtaalamu wa masuala ya ulinzi na usalama katika mifumo ya Kompyuta John McAfee leo ametoa maelezo juu sakata lilonaendelea kati ya kampuni ya Apple na chombo cha usalama cha nchi Marekani FBI wakati alipokuwa
akihojiwa na kituo cha runinga cha Urusi, Russia Today.
McAfee ambaye ni mgombea Urais nchini humo amesema suala la FBI kuwaomba Apple kuwasaidia kutoa loki ya simu ya mmoja wa watuhumiwa wa shambulio la San Bernadino ni kuwazubaisha wananchi yeye anaamini FBI walishafanikiwa kutoa loki ya simu hiyo ila wanachotaka kwa sasa ni ruhusa ya kuendelea na mchezo huo kutoka Apple.
Mgombea huyo wa chama cha Libertarian ameeleza jinsi ya kutoa loki ya simu au kompyuta yoyote ile ndani ya dk. 30.
Namnukuu,
You need a hardware engineer and a software engineer. The hardware engineer takes the phone apart and it [sic] copies the instruction set, which is the iOS and applications [sic] and your memory, and then you run a piece, a program called a disassembler which takes all the ones and zeroes and gives you readable instructions. Then, the coder sits down and he reads through, and what he’s looking for is the first access to the keypad, because that’s the first thing you’re doing when you input your pad. It’ll take half an hour. When you see that, then you read the instruction for where in memory this secret code is stored. It is that trivial. A half an hour.
John McAfee aelezea jinsi ya kudukua iPhone au Kompyuta yoyote kwa dk. 30 tu
Reviewed by Unknown
on
Januari 10, 2017
Rating:
Post a Comment