FIFA YAKUBALI USHIRIKI WA TIMU 48 KATIKA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA
Wajumbe wa shirikisho la mpira wa miguu duniani(FIFA) limepitisha ama kukubali ushiriki wa timu 48 katika fainali za kombe la dunia. Utaratibu huu wa timu 48 utaanza rasmi
mnamo mwaka 2026!!
Kupitia akaunti yake ya Twitter, FIFA iliwapasha wapenda kandanda duniani kuhusu maamuzi hayo. Kukubaliwa kwa hoja hii ya timu 48 katika fainali za kombe la dunia itakuwa ni sifa kubwa kwa rais wa FIFA Gianni Infantino ambaye ndiye alipendekeza wazo hilo mwaka jana.
RAIS WA FIFA Gianni Infantino
FIFA YAKUBALI USHIRIKI WA TIMU 48 KATIKA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA
Reviewed by Unknown
on
Januari 10, 2017
Rating:
Post a Comment