KENDRICK, JEEZY, RIHANNA NA T.I WAMETOA MANENO YAO YA MWISHO KWA BARACK OBAMA
Barack Obama ameshamwachia majukumu Donald Trump kuiongoza Marekani, licha ya kupewa majukumu hayo bado hali sio nzuri kwa baadhi ya wananchi na wasanii wa taifa hilo.
Rapper Kendrick Lamar anaungana na wasanii kama Jeezy, T.I na Rihanna kutoa maneno yao ya mwisho juu ya Barack Obama ambaye alifanikiwa kuwaunganisha wamarekani pamoja kila kona ya dunia.
KENDRICK, JEEZY, RIHANNA NA T.I WAMETOA MANENO YAO YA MWISHO KWA BARACK OBAMA
Reviewed by Unknown
on
Januari 21, 2017
Rating:
Post a Comment