Header AD

Kila mtu na mbabe wake wamarekani wanaogopa sana……

Taifa  la Marekani ndiyo taifa kubwa lenye vitu vingi karibia kila kitu duniani,huku pia wananchi wake kwa asilimia kubwa wakiwa na uhakika wa maisha yao kutokana na utajiri wa nchi hiyo.
Asilimia kubwa ya wamarekani huishi bila wasaiwasi wa kukabiliwa na baa la njaa,vita au matatizon mengine ambayo huyakumba bara la Afrika na Asia. Ulinzi madhubuti uliowekwa ndani na nnje ya nchi hiyo uwawafanya wamarekani kujihisi wako salama katika dunia hii kuliko binadamu yeyote yule.
Hali hii imewafanya wamarekani kujivunia sana kuwa raia wa taifa hilo huku wakati mwingine wakijitia kuwaonea huruma watu ambao siyo raia wa TAIFA HILO.

RAKININJE WAJUA? pamoja na wamarekani kuwa na ulinzi huo ambao unawafanya wasiwe na hofu ya maisha yao,huuogopa nyoka kuliko kitu chochote duniani? 
Uchunguzi umebaini kuwa asilimia 51 ya wamarekani ni waoga kuliko kawaida kila wanapoomuona nyoka bila kujali amelala,amekufa au ni mzima.
 

Kila mtu na mbabe wake wamarekani wanaogopa sana…… Kila mtu na mbabe wake wamarekani wanaogopa sana…… Reviewed by Unknown on Januari 09, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads