Header AD

Mose Iyobo na Harmorapa wapeana makavu ishu ya kuitwa nyani


 
leo January 30 2017 kupitia YOU HEARD ya XXL clouds FM, Soudy Brown ametuletea  inayomhusu Mose Iyobo kumfananisha Harmorapa na
Nyani ambapo haya ni majibu ya Harmorapa baada ya hiyo comment.

‘Asante sana Mose kwa kuniita nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na Hamornize ni nyani kwa hiyo tuko nyani wawili’-Hamorapa

Mose Iyobo kwa upande wake ameongea yafuatayo, Mimi sioni cha ajabu, kuna mtu anaitwa Simba na anafurahi, kuna mtu anajiita Dudu baya na anafurahi leo mtu kumuita mtu nyani yanakuja maneno mengi, wao wanatukana maneno mangapi na hujasikia nimeenda kusema sehemu’


Mose Iyobo na Harmorapa wapeana makavu ishu ya kuitwa nyani Mose Iyobo na Harmorapa wapeana makavu ishu ya kuitwa nyani Reviewed by Unknown on Januari 30, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads