Ilizinduliwa LIVE pande za Kigoma kwenye XXL Tour mkoani hapo hii hapa mpya kutoka kwa mfanyakazi wa serikali Muheshimiwa D_One
Baba Levo.
Humu ndani kamtupia mkali wa Kisingeli Sholo Mwamba, ngoma inaitwa Kigoma Noma. Production ni Wasafi Records kwa producer Laizer Classic. Enjoy.
Post a Comment