Header AD

NAY WA MITEGO AKANA KUIDIS NGOMA YA MADEE! ADAI HAJAWAHI HATA KUUSIKIA!



Kuanzia jana usiku mpaka mchana wa leo issue ambayo ilikuwa inatrend kinoma katika mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kwa hapa Bongo ni post ya rapper Nay wa Mitego katika mtandao huo wa Instagram iliyochukuliwa kama ni dis kwa wimbo mpya wa Madee.


Post ya Nay wa Mitego

Sasa Soudy brown amemvutia waya Nay wa Mitego kwenye U-Heard ya leo january 18 na kumuuliza kuhusu post yake hiyo kama amemlenga Madee au lah!
Nay wa Mitego amekanusha vikali tuhuma hizo na kudai kwamba hajawahi hata kuusikia wimbo huo. Play hii video hapa chini kumsikiliza Nay wa Mitego akifunguka juu ya hilo, pia Madee atasikika kuhusiana na suala hilo.

SOURCE:255 Web

NAY WA MITEGO AKANA KUIDIS NGOMA YA MADEE! ADAI HAJAWAHI HATA KUUSIKIA! NAY WA MITEGO AKANA KUIDIS NGOMA YA MADEE! ADAI HAJAWAHI HATA KUUSIKIA! Reviewed by Unknown on Januari 18, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads