Header AD

Picha: Jumba Analojenga Mbwana Samatta Huko Kigamboni.

Staa wa Tanzania katika Soka,Mbwana Samatta,ameamua kujenga Hekalu lake kimya kimya Maeneo ya Kigamboni,Imefahamika.


Samatta ambaye anakipiga katika Ligi ya Ubeligiji ,inasemekana ameamua kujenga Hekalu hilo mara baada ya kubomoa iliyokuwa nyumba yake ya awali maeneo ya Kisarawe II.

Picha: Jumba Analojenga Mbwana Samatta Huko Kigamboni. Picha: Jumba Analojenga Mbwana Samatta Huko Kigamboni. Reviewed by Unknown on Januari 20, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads