PICHA: UTAUPENDA HUU MZIGO MPYA WA PAUL POGBA
Baada ya kusababisha penati ambayo ilibeba lawama nyingi kwa mashabiki wa Man united wakati wa mchezo na Liverpool, Paul Pogba ameachia collection ya mavazi yake ambayo ameshirikiana na Addidas.
Collection hiyo imekuja na vitu kama hoodie, tee-shirts, bomber jacket, snapback, pamoja na mabegi na nguo za mazoezi ambazo zimekuja kutokana na staili mpya ya nywele yake
Kama utakumbuka pia mtandao wa Twitter ulitengeneza emoji ya Paul Pogba ambayo imemfanya kuwa ndio mchezaji wa ligi ya uingereza kuwa na emoji hiyo kwenye mtandao wa Twitter.
Dondosha comments
PICHA: UTAUPENDA HUU MZIGO MPYA WA PAUL POGBA
Reviewed by Unknown
on
Januari 16, 2017
Rating:
Post a Comment