Header AD

POGBA ndiye mchezaji pekee ligi kuu ya Uingereza(EPL) kuwa na "Emoji" yake Twitter

Mchezaji wa Manchester united ya England ametengenezewa Emoji yake na mtandao wa kijamii wa Twitter, Pogba sasa ndiye mchezaji pekee katika ligi ya nchini Uingereza kuwa na
Emoji yake katika mtandao wa kijamii wa twitter.


Manchester United Group Managing Director Richard Arnold alinukuliwa akisema 
“Manchester United is the most connected and engaged club in world sport and we continually strive to find new ways to communicate with our global following of 659 million people," 
"We are the number one Premier League team on social media with a reach of over 130 million total social connections across all platforms. Twitter is one of our most popular channels, last year gaining 3.3 million new followers; more than any other Premier League team.
"This emoji is another great tool for our supporters to connect with the club through a digital environment, particularly as the excitement builds for Sunday’s match.

POGBA ndiye mchezaji pekee ligi kuu ya Uingereza(EPL) kuwa na "Emoji" yake Twitter POGBA ndiye mchezaji pekee ligi kuu ya Uingereza(EPL) kuwa na "Emoji" yake Twitter Reviewed by Unknown on Januari 14, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads