Header AD

Rafiki Yake Samatta, Atua Leicester Na Kuanza Na Kipigo Cha Chelsea

 Beki Mnigeria, Wilfred Ndidi ameianza Ligi Kuu England timu yake ya Leicester City inakutana na kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Chelsea.


Ndidi ametokea Genk ya Ubelgiji ambayo alikuwa akicheza pamoja na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta.

Genk imekuwa ikisifika kwa kuuza wachezaji kwenye timu mbalimbali kubwa za Ulaya. Maana yake kama Samatta ataendelea kufanya vizuri, kuna nafasi ya kufanya kuuzwa pia.

Rafiki Yake Samatta, Atua Leicester Na Kuanza Na Kipigo Cha Chelsea Rafiki Yake Samatta, Atua Leicester Na Kuanza Na Kipigo Cha Chelsea Reviewed by Unknown on Januari 15, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads