NIKOHURU BLOG# ZIJUE AINA ZA MOVIES
Leo Nina Somo Kwa Wapenzi Wote Wa Filamu Au Movies.
Kila Mtu Anaangalia Movie Lakini Wengi Wetu Hatujui Unaangalia Aina Gani Ya Movie Mfano Utakuta Mtu Anaulizwa Unapenda Aina Gani Ya Movies AnaKuambia Ya Kupigana Au Ya Kutisha Tisha, Sasa Hapo Lazima Kichwa Kikuume Umuulize Tena Ya Kupigana Ya Aina Gani Au Kutisha Tisha Ya Aina Gani Atakuambia Ya Kutisha Tisha Zile
Kama Mtu Anachinjwa Hivi Kama Ukweli Ukweli. ....Yaani Ni Shida Soooooo Leo Nakupa Darasa Ya Ni Aina Gani Ya Movie Ambayo Una Angalia Na Ukiwa Unahitaji Movies Uende Moja Kwa Moja Kwenye Lengo, Naomba Fiction, Animation, Action, Thriller, Romantic Au Horror.
AINA YA KWANZA
Action Movies ( Movies Za Kupigana /Za Ngumi) Ina Matokeo Kama Mkimbizano Wa Magari, Mauaji Ya Silaha Kama Ina Muhusika Ambaye Anaitwa Stuntmen. Inahusu Mema Na Mabaya, Mfano Wa Action Movies Ni Hizo Pichani.
AINA YA PILI
Adventure : Movies Ambazo Zinahusu Hero (Shujaa ) Ambaye Anawekwa Ili Kuikomboa Dunia Au Wapendwa Wao . Ni Kama Vile Clash Of The Titans , The Expendables , The Last Airbender , Star Beyond Trek etc.
AINA YA TATU
Animated Movies (Movie Za Vikatuni) Ni Aina Ya Movies Ambazo Zina Tumia Picha Artificial Kama Vile Ng'ombe Wana Ongea Kuelezea Story. Movies Hizi Kipindi Cha Zamani Zilikuwa Zikichorwa Kwa Mkono Na Kuwekwa Kwenye Frame Moja Baada Ya Nyingine Ila Sasa Kuna Computers... Mfano Kama Finding Dory, Ice Age, Jango N.k
AINA YA NNE
Comedies Movies Ni Za Kuchekesha Zinazo Onyesha Na Kuelezea Silly Things , Watu Kufanya Au Kuongea Mambo Yasiyotarajiwa Ambayo Yanafanya Hadhira Wacheke Na Kufurahi .
AINA YA TANO
Documentaries Movies Ni Movies Ambazo (Zinasemekana Kuwa ) Ni Watu Wa Kweli Na Matukio Ya Kweli. Huwa Zipo Serious Huwa ZinaElezea Somo Linalo Teka Hisia Za Kila Mtu Mfano Selena, Deliver Us From Evil, Last Train home.
AINA YA SITA
Horror movies Hizi Ni Zile Mbazo Zinatengenezwa Ili Kuletea Uoga Ili Kuexcite Audiance. Utakuta Sometimes Haina Hata Mauaji Mengi ya Kutisha Ila Ukiangalia Ni Unapata Woga Na Hofu Hatari Unaanza Kujenga Image Kichwani Kwako Nini Kinafuata Kutokana Na Muzik Wanao Play Muda Huo, Mwanga Na Camera. Mfano Scream, It Follows, I Spit On your Grave. The Mummy E.t.c
AINA YA SABA
Family Movies Ni Special Kwa Ajili Ya Watoto Na Watu Wazima, Yeyote Wa Umri Wowote Anaweza Tazama Mfano. Home Alone, Jumanji, Mr Bean, Sound Of Music., Oz The Great And Powerful, Tarzan, Karate Kid E.t.c
AINA YA NANE
Buddy Movies Huwa Zinahusu 2 Heroes, Hao Two Heroes Kila Mmoja Huwa AnaPaswa Kumsave Mwenzake Na Wote Wawili Au Zaidi Hata Ya Wawili Wanatakiwa Kuovercome Obstacles Fulani. Hizi Huwa Ni Za Comedy Kidogo, Ila Pia Huwa Zenye Hisia (Emotion) Sababu ya Urafiki Wa Karibu Wa Wahusika Katika Movie Wanayokuwa Wamecheza.
Mfano Wa Movies Hizo Ni Rush Hour, Lethal Weapon, Django Unchained, Central Intelligence. E.t.c
AINA YA TISA
Tragedies Movies Huwa Zina Dramas , Na Huwa Mara Zote Ni Watu Wakiwa Katika Matatizo Mfano , Mume Na Mke Wanatakiwa Kutalikiana Kila Mmoja Anatakiwa Adhihirishe Mahakamani Kuwa Kila Mmoja Ni Ataweza Kaa Na Mtoto Vizuri, Huwa Zina Hisia Kali Kwa Asilimia Kubwa Katika Movie Na Watazamaji Huwa wanaweza Kupata Hasira Na Hata Kulia, Ila Zaidi Huwa Ni Kulia.
Ukiwa Na Hamu Ya Kulia Sana Hizi Ni Mfano Wa Movies Zitakazo Kuliza... I am Sam, The Notebook, The Big Fish, We Are Soldiers, The Persuit Of Happiness, The Fault In Our Stars, Seven Pounds, The Land Before Time, Glory N.k 😂😂😂
AINA YA KUMI
Romantic Comedies (Rom-Coms) Hizi Ni Story Za Mapenz Kuhusu Watu Wawili Tofauti Toka Mazingira Mawili Tofauti, Wanatakiwa Wa Overcome Obstacles Pamoja. Rom-Coms Huwa Ni Light Hearted Na Zenye Emotions. Pia.
Na Huwa Ina Vichekesho Ndani Yake. Mfano, Horrible Bosses,Friends With Benefits Etc.
AINA YA KUMI NA MOJA
Science fiction Movies Ni Zile Ambazo Huwa Zipo Zinahusu Kama Technologia Ijayo, Maisha Yajao, Au in Outer Space. Huwa Wanatumia Mambo Yajayo Au Alien Settings Kuhusu Maisha Au Maisha Yangekuwa Hivi Au Vile Au Jinsi Gani Tufikirie Kuhusu Maisha, Huwa Zinatumia Special Effects Kutengeneza picha Au Lugha Ya Aliens, Viumbe Viumbe Na Space Ships.
2046, Advantegous, the Martian, Moon, Mad Max, Star Trek, The Terminator, Iron Man.
AINA YA 12
Thrillers Ni Kuhusu Mambo Yenye Siri Za Maajabu, Matukio Ya Kutisha, Mambo Ya Kigeni Kama Uchawi, Mauaji, Katika Maisha Ya Binadamu, Au Uhalifu Unaotakiwa Kupata Suluhu, Mtizamaji Unakuwa Una Guess Kitakacho Tokea Mpaka Dakika Za Mwisho. Kikawaida Huwa Kuna 'Twists' Na Pia Huwa Zimepangwa Katika Matukio Ya Kukufanya Uwe Surprised.
Mfano Inception, Phsyco Etc #
AINA YA 13
Western Movies Zinaelezea Story Za Cowboys Huko Western United States Miaka ya 1800s. Huwa Ni Really Action Movies, Ila Zina Historical Costume. Huwa Zina Au Hazina (Native Americans). Inategemea.
MFANO, Texas Rangers, The Long Rangers, The Claim, The Rover.
AINA YA 14
Fantasy Movies Zinajumuisha Maajabu, Vitu Ambavyo Havipo Katika Maisha Ya Kawaida Na Hakuna Binadamu Awezaye Kufanya Mambo Hayo Ukijumuisha Magics.
Mfano The Lord Of The Rings, Avatar, Star Wars, Harry Potter, The Mask, Hobbit.
AINA YA 15
Suspense Movies, Hizi Ni Aina Za Movies Ambazo Zinakuweka Kwenye Kiti Bila Kujua Nini Kinaendelea Kwenye Movie Unayo Tizama, Sababu Itakuchanganya Itakuumiza Kichwa, Ni Movies Za Kutuliza Ubongo, Zinachanganya Sana Sana Mfano Source Code, Dr. NO., The Wailing, The Dark Knight Rises (Hii Movie Siielewagi Hata Siku Moja Na Wala Sikumbuki Kuwahi Kumaliza Kuitazama, Ila Ilifanya Poa Mauzo Kinoma Ikiwa Imetumia Budget $230 Million Na Mauzo (Box office) Ni $1.085 Billion, Memento, Exam E.t.c
MWISHO...
TUFOLLOW PAGE YETU >>INSTAGRAM

Reviewed by Unknown
on
Aprili 25, 2017
Rating:
Post a Comment