NIKOHURUBLOG# DOWNLOAD HAPA (Korean Drama): REBELS >EPISODE 01 HADI YA 05
Kwa mara ya kwanza Series hii ilitoka january 30,2017, bado inaendelea, mpaka sasa wametoa episode 2o. Timu yetu itakuletea download links za hiii filamu kila siku hadi episode zote ziishe.
Kwa ufupi inahusu kijana Gil dong ambaye amezaliwa na nguvu asili za miujiza, nguvu ambazo si za kawaida, Wazazi wake wanateswa na kufa katika hali za uonevu, .... basi anakua na kuja kuwa
mwizi, lakini anaibia waovu, wafanyakazi matajiri wa serikali waliodhulumu raia mtaani, akiiba yeye Gil dong hugawa mali zote vijijini, sio kuiba tu bali pia kutetea wanyonge. Hali hii inamfanya awe maarufu kiasi cha kumzidi mfalme wao. Mfalme kuona watu wanamhusudu Gil dong, akaanza kumsaka
kwa udi na uvumba, kumbuka Gil dong ni mtu mwenye nguvu asili za ajabu, je Atafanikiwa kumpata???
SONGA nayo...
episode 1
EPISODE 2
EPISODE 3
EPISODE 4
EPISODE 05
Kwa taarifa zaidi kuhusu series follow ukurasa wetu INSTAGRAM
NIKOHURUBLOG# DOWNLOAD HAPA (Korean Drama): REBELS >EPISODE 01 HADI YA 05
Reviewed by Unknown
on
Aprili 09, 2017
Rating:
Post a Comment