Mtandao wa WhatsApp waongoza kwa matumizi
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp umebainika kutumiwa na watu Bilioni moja kwa kila siku.
Mnamo mwaka jana mtandao huo ulikuwa na watumiaji bilioni moja ila sasa idadi hiyo imekuwa ni ya wanaotembelea kila siku, inadaiwa kuwa katika watu kumi kati ya watu wanane hadi saba wanatumia mtandap huo.
Mitandao mingie inayoongoza kuwa na watumiaji wemngi kwa siku ni Facebook , Instagram na Messenger.
Utafiti uliofanyika mwaka 2014 na Chuo Kikuu cha Pittsburgh cha Pennsylvania nchini Marekani, ulibaini kuwa alisimia 71 ya wanotumia mitando ya kijamii ni vijana na hutumia kila baada ya dakika 10.
Mtandao wa WhatsApp waongoza kwa matumizi
Reviewed by Unknown
on
Julai 28, 2017
Rating:
Post a Comment