NIKOHURU BLOG#Birdman atoa ya moyoni,kumbe Lil Wayne ana master kopi ya ‘Carter V’ na hajawapa lebo yake.
]
Imekuwa stori ya zaidi ya mwaka mmoja kwenye dunia ya hiphop na rapa, ni ugomvi wa Lil Wayne na Birdman ambaye ndiye mwanzilishi wa Cash Money Records.
Jipya limeibuka baada ya Birdman kusema wazi kuwa Master Kopi ya album mpya ya Lil Wayne “Tha Carter V,” anayo mwenyewe na hajawapa Cash Money ndio maana hawawezi kuitoa.
NIKOHURU BLOG#Birdman atoa ya moyoni,kumbe Lil Wayne ana master kopi ya ‘Carter V’ na hajawapa lebo yake.
Reviewed by Unknown
on
Septemba 15, 2016
Rating:
Post a Comment