Je, unatambua tovuti unayoweza pata program za kumpyuta za bure salama bila kuitaji kujisajili wala malipo ya aina yeyote?
Filehippo imethaminishwa kuwa No #682 duniani nakutengeneza pesa kiasi cha 3.1 Milion
kwa watu wanao itembelea kila siku katika utafutaji wa Programu za bure na salama.
Pesa hizo zinapatiakana kwa michango ya hiari na matangazoyalliyowekwa kwenye tovuti hiyo.
Jiunge na mamilioni ya
wateja wanao tembelea Filehippo.com kwa kujipatia program mbali mbali salama kwa matumizi binafsikwa watu wanao itembelea kila siku katika utafutaji wa Programu za bure na salama.
Pesa hizo zinapatiakana kwa michango ya hiari na matangazoyalliyowekwa kwenye tovuti hiyo.
Jiunge na mamilioni ya
ya kilasiku. Unaweza kujiuliza kwanini Filehippo.com imekuwa maarufu na kutembelewa na
mamilioni ya watu duniani? Zifuatazo ni sababu sita za msingi.
- Filehippo.com haimlazimishi mtumiaji kujisajili ili kuweza kupakua program yeyote
- Filehippo.com ipo katika mpango mzuri hivyo mteja hutumia muda mchache kupata anachokihitaji.
- Filehippo.com hawatozi garama yeyote kwenye program zinazopatikana katika tovuti yao.
- Filehippo.com ni salama kwani program zao zote hazina machipukizi ya virusi vinavyoweza kuja kuzuru kopyuta yako wakati wa matumizi.
- Filehippo.com program zake zote hazijafungwa na ninyepesi katika kuzipakua
- Filehippo.com nisehemu pekee unayoweza kukuta Program nyingi na zinazokwenda na wakati.
Tembelea http://filehippo.com kujipatia program zako buree kwajili ya matumizi binafsi.
Je, unatambua tovuti unayoweza pata program za kumpyuta za bure salama bila kuitaji kujisajili wala malipo ya aina yeyote?
Reviewed by Unknown
on
Oktoba 12, 2016
Rating:
Post a Comment