Header AD

Nilitumiwa, ukiona ninapoishi utasikitika – Saida Karoli


Saida Karoli anaogopa kugusa hata jani, akidhani ni nyoka anayetaka kumng’ata.

Ni kwasababu licha ya kufanya vizuri kimuziki miaka kadhaa iliyopita, hakupata chochote na bado anaishi katika mazingira magumu.

“Niliumizwa kuanzia mwanzo, ni vitu vichache nilivyovipata, kama mkibahatika waandishi wa habari wenye makamera na wakija kwangu watashuti kulingana na nilivyo, wataona mazingira ninayoishi ndipo watanzania watazidi kufunguka zaidi,” Saida alimwambia mtangazaji wa Jembe FM, Natty E.

Kwa sasa Saida Karoli anaishi jijini Mwanza. Hivi karibuni amerejea tena kwenye midomo ya watu baada ya Diamond kurudia wimbo wake Salome.

Msikilize hapo chini.

==


Nilitumiwa, ukiona ninapoishi utasikitika – Saida Karoli Nilitumiwa, ukiona ninapoishi utasikitika – Saida Karoli Reviewed by Unknown on Oktoba 05, 2016 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads