Header AD

Rais Magufuli Afanya Ziara Ya Kushtukiza Wizara Ya Maliasili Na Utalii Na Kushuhudia Pembe Za Ndovu 50 Zilizokamatwa

Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri Katibu Mkuu wa  Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi baada ya kukagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni maalum ya kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es salaam leo Oktoba 29, 2016.

Rais Magufuli Afanya Ziara Ya Kushtukiza Wizara Ya Maliasili Na Utalii Na Kushuhudia Pembe Za Ndovu 50 Zilizokamatwa Rais Magufuli Afanya Ziara Ya Kushtukiza Wizara Ya Maliasili Na Utalii Na Kushuhudia Pembe Za Ndovu 50 Zilizokamatwa Reviewed by Unknown on Oktoba 30, 2016 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads