Header AD

Donald Trump Ameshinda nafasi ya Urais wa Marekani

Mgombea wa Chama cha Republican, Donald Trump ameshinda uchaguzi mkuu wa Marekani baada ya kufikisha kura 276 huku Hillary Clinton akiwa na kura 218.

Hillary Clinton amempigia simu Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump na kumpongeza kufuatia ushindia huo alioupata.

Akizungumza na wafuasi wake baada ya kutangazwa mshindi, Trump amewataka raia wote wa Marekani, waliomchagua na ambao hawakumchagua kuungana na kuanza kuijenga nchi yao kwani muda wa kampeni na siasa za kugawanyika umekwisha.





    ==
    Donald Trump Ameshinda nafasi ya Urais wa Marekani Donald Trump Ameshinda nafasi ya Urais wa Marekani Reviewed by Unknown on Novemba 09, 2016 Rating: 5

    Hakuna maoni

    Post AD

    Propellerads