NIKOHURUBLOG#(JE WAJUA?)Akaunti yako ya FACEBOOK yaweza jifuta yenyewe(AUTOMATICALLY) baada tu ya kifo chako??
Habari zenu wasomaji wa NIKOHURUBLOG, Kama kawaida ni jadi yetu kukuletea taarifa mbalimbali kuntu kuhusiana na nyanja mbalimbali. Bsi leo waweza jua jinsi gani ufanye ili akaunti yako ya facebook ijifute yenyewe(automatically) baada ya wewe mtumiaji wa akaunti hiyo umefariki. Ukitaka hilo lifanyike
basi mpenzi msomaji fuatilia hatua zifuatazo hapo chini:
- Ingia katika akaunti yako ya facebook(SIGN IN)
- Bonyeza mshare kushuka chini(down arrow near the Home button)
- Bonyeza "setting" katika akaunti yako
- Bonyeza security (ipo upande wa kushoto)
- BONYEZA Legacy Contact.
- Kisha bonyeza Request account deletion.
- BONYEZA Delete After Death Kisha Timu Facebook itafuta taarifa zako zote tokea uanze kutumia mtandao wao(akaunti itafutwa) baada tu ya ndugu zako kuijuza FACEBOOK juu ya kifo chako.
"Share habari hii kwa rafiki zako katika mitandao ya kijamii"
NIKOHURUBLOG#(JE WAJUA?)Akaunti yako ya FACEBOOK yaweza jifuta yenyewe(AUTOMATICALLY) baada tu ya kifo chako??
Reviewed by Unknown
on
Novemba 24, 2016
Rating:
Post a Comment