Header AD

ALEXIS SANCHEZ akiri kuwa alikwepa kulipa kodi takribani Yuro €1 Million

Fowadi machachari wa klabu ya soka ya Arsenal Alexis Sanchez amekiri kuwa alikwepa kulipa kodi inayokaribia kiasi cha fedha cha yuro milion 1, 

Mahakama kuu nchini Chile ilithibitisha ukwepaji huo wa kodi ambao ulitokea kati ya 2012 na 2013 alipokuwa anaitumikia klabu ya Barcelona ya nchini Hispania.
Ripoti zinasema kwamba, mwanasoka huyu mwenye miaka 28 ameshalipa kiasi hicho cha pesa na atalipa faini tu badala ya kupelekwa mahakamani.. Naye meneja wa Arsenal, kocha Wenger alisema Sanchezi sasa hana tatizo lolote

ALEXIS SANCHEZ akiri kuwa alikwepa kulipa kodi takribani Yuro €1 Million ALEXIS SANCHEZ akiri kuwa alikwepa kulipa kodi takribani Yuro €1 Million Reviewed by Unknown on Januari 16, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads