BURUDANI # MUSIC: VIVA CONSCIOUS, STAMINA, DARASSA, BEKA TITTLE, KING KAPITA & JAMES CUCA – MCHEZO MBONA SIMPLE (LISTEN/DOWNLOAD)
Ni vichwa 6 vya Hiphop nchini Tanzania vimeungana na kulitengeneza hili bonge moja la ngoma linaloitwa “MchezoMbona Simple”.
Ni Viva Conscious, Stamina, Darassa, Beka Tittle, King Kapita pamoja na James Cuca, wote wameumiza humu ndani. Producer ni John B. Enjoy nayo
Bofya HAPA KUSIKILIZA AUDIO
BURUDANI # MUSIC: VIVA CONSCIOUS, STAMINA, DARASSA, BEKA TITTLE, KING KAPITA & JAMES CUCA – MCHEZO MBONA SIMPLE (LISTEN/DOWNLOAD)
Reviewed by Unknown
on
Januari 24, 2017
Rating:
Post a Comment