Header AD

AMBER LULU-: NIMEWAHI KUSHIKA MIMBA YA BARNABA!




Mmoja kati ya ma-video vixen wakali na wanaokiki zaidi hapa Bongo ni huyu hapa Amber Lulu, mrembo ambaye amefanikiwa kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na picha zake za mitego katika mitandao.

Amber Lulu amewaacha wengi mdomo wazi baada ya kufunguka kuwa amewahi kubeba ujauzito wa msanii mkali wa Bongo Fleva Barnaba Classic ila kwa bahati mbaya ujauzito huo uliharibika.
Akiwa kwenye exclusive interview na The Red Chair Amber Lulu amefunguka hayo na kudai kuwa hakuwa na nia ya kuitoa mimba hiyo bali alitaka kujifungua ila kwa bahati mbaya ikaharibika.
Play hii video hapa chini kumsikiliza Amber Lulu akifunguka mengi zaidi kuhusu mastar wenzake kamaGigy MoneyYoung Dee na wengineo kibao.
AMBER LULU-: NIMEWAHI KUSHIKA MIMBA YA BARNABA! AMBER LULU-: NIMEWAHI KUSHIKA MIMBA YA BARNABA! Reviewed by Unknown on Januari 24, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads