Header AD

Mwanafunzi ajiua baada ya kuambiwa arudie darasa.


Mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari Luora nchini Kenya amejiua kwa kunywa sumu baada ya kuambiwa arudie kidato cha tatu.

Mwanafunzi huyo aliyejulikana kwa jina la Clifford Odhiambo alikataliwa kuingia kidato cha nne na walimu wake kutokana na matokeo yake ya kidato cha tatu kuwa mabaya.

Odhiambi alipoteza maisha katika hospitali ya rufaa ya county nchini humo alipokimbizwa kwa ajili ya matibabu.
Mwanafunzi ajiua baada ya kuambiwa arudie darasa. Mwanafunzi ajiua baada ya kuambiwa arudie darasa. Reviewed by Unknown on Januari 24, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads