Header AD

CHEKI UJUMBE WA MWANA FA BAADA YA ‘DUME SURUALI’ KUFIKISHA WATAZAMAJI MILIONI 2 YOUTUBE


Baada ya mafanikio makubwa kutoka kwa Darassa na ngoma yake ya ‘Muziki’ kufanya vizuri kwenye ulimwengu wa HipHop katika mtandao wa Youtube, Dume Suruali ya Mwana FA imefikisha views
milioni 2 kwenye mtandao wa Youtube.
Good Newz kutoka kwa rapper Mwana Fa amefunguka kwenye kurasa yake ya Instagram kwa kusema kwamba “Najua najua, kwamba sio namba kubwa hii kwa baadhi ya wasanii,actually ni kanamba flani kaduchu tu,ila kwangu its a big deal..kwa hivyo sitakaa niigize hapa kuwa ‘this is how we do it’ na ‘it’s normal’,no it’s not,sio kawaida, nashangaa, asanteni sana, how about tukifika 3m tunatoa ngoma nyingine?n ow lets get to 3m. shukrani sana!…Nawaombea Wiki Njema Mahangaikoni… #DumeSuruali
Faaaalsafa!🎼,”.



CHEKI UJUMBE WA MWANA FA BAADA YA ‘DUME SURUALI’ KUFIKISHA WATAZAMAJI MILIONI 2 YOUTUBE CHEKI UJUMBE WA MWANA FA BAADA YA ‘DUME SURUALI’ KUFIKISHA WATAZAMAJI MILIONI 2 YOUTUBE Reviewed by Unknown on Januari 16, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads