Header AD

Joti Arudia Video ya Darasa...Wadau Wadai Ameitendea Haki Kuliko Darasa, Itazame Hapa

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Joti amerudia wimbo wa mwanamuziki Darassa unaokwenda kwa jina la Muziki.

Huu ni wimbo uliofanya vizuri tangu ulipotoka mwezi Disemba mwaka jana hadi sasa
. Wimbo huu ni wa Darassa ambapo amemshirikisha Ben Pol ikiwa ni wimbo wao wa pili kuimba pamoja baada ya ule wa Sikati Tamaa.

Burudika na video hapa chini:

Joti Arudia Video ya Darasa...Wadau Wadai Ameitendea Haki Kuliko Darasa, Itazame Hapa Joti Arudia Video ya Darasa...Wadau Wadai Ameitendea Haki Kuliko Darasa, Itazame Hapa Reviewed by Unknown on Januari 13, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads