Header AD

CAF yamteua Millard Ayo Kuripoti Moja Kwa Moja Michauno ya AFCON2017 Kutoka Uwanjani

Mtanzania Millard Ayo achaguliwa na shirikisho la soka Afrika katika list ya Waandishi watakaoripoti michuano ya Afrika kutoka uwanjani

Michuano hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Januari 14 2014 nchini Gabon.Katika nchi za Afrika Mashariki na CECAFA kwa ujumla,Uganda ndio atakuwa muwakilishi.

Kila la heri #MilladyAyo


CAF yamteua Millard Ayo Kuripoti Moja Kwa Moja Michauno ya AFCON2017 Kutoka Uwanjani CAF yamteua Millard Ayo Kuripoti Moja Kwa Moja Michauno ya AFCON2017 Kutoka Uwanjani Reviewed by Unknown on Januari 13, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads