Header AD

Mkuu wa Majeshi wa Gambia Akataa Kupeleka Jeshi lake Kupambana dhidi ya Wanajeshi wa ECOWAS Wanaotaka Rais Mteule Aapishwe



Mkuu wa Majeshi wa Gambia, Osman Badjei amesema vikosi vyake havitathubutu kamwe kupambana na vikosi vya ECOWAS kwa issue za kisiasa.


"stupid fight. I love my men. I am not going to involve my soldiers in a militarily, this is a political dispute," he said. "We are not going to involve ourselves" he added.

Majeshi ya ECOWAS yamesogea mpakani na nchi ya Gambia wakisubiri kupewa amri ya kuanza kumshikisha UKUTA Dikteta Yahya Jammeh, Nigeria imetuma Helikopter za kijeshi pamoja na makomandoo 200, Ghana imetoa vikosi vya ardhini na nchi zingine wanachama zimetoa sapoti ya kijeshi pia. Misheni nzima inasimamiwa na nchi ya Senegal..
Hii ndio Africa niitakayo.., ondoa madikteta wote..

Watalii wameondoka wote nchini humo, pia watu wengi wamekimbia nchi hiyo kwa hofu ya vita..
NB:Africa Mashariki tunajambo tunapaswa kujifunza hapa na kuifanya jumuiya kuwa imara na yenye Sauti na mamlaka katika kuingilia mambo ya Wanajumuiya wake pale wanapokataa kuheshimu na kutii maamuzi ya Wananchi....

By Henry Kilewo 

Mkuu wa Majeshi wa Gambia Akataa Kupeleka Jeshi lake Kupambana dhidi ya Wanajeshi wa ECOWAS Wanaotaka Rais Mteule Aapishwe Mkuu wa Majeshi wa Gambia Akataa Kupeleka Jeshi lake Kupambana dhidi ya Wanajeshi wa ECOWAS Wanaotaka Rais Mteule Aapishwe Reviewed by Unknown on Januari 20, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads