MPYA: NIKKI MBISHI – I’M SORRY JK (AUDIO)
Vipi kuhusu hali ya maisha kwasasa? Iko tight eeeh? Wapo ambao wanadai kuwa ugumu wa hali ya maisha kwasasa unasababishwa na uongozi thabiti wa Raisi John Pombe Magufuli.
Kwa maana hiyo wapo ambao wamekwisha ukumbuka uongozi wa Raisi aliyepita. Mh. Jakaya Kikwete.. Sasa Nikki Mbishi ameamua kufukisha ujumbe kwa niaba ya wote ambao wameukumbuka uongozi huo kwenye hii treck yake mpya inayoitwa I’m Sorry JK. Enjoy
MPYA: NIKKI MBISHI – I’M SORRY JK (AUDIO)
Reviewed by Unknown
on
Januari 15, 2017
Rating:
Post a Comment