Header AD

MPYA# OFFICIALVIDEO: FID Q – KEMOSABE


Mkali wa Hiphop nchini Tanzania Fareed Kubanda almaarufu kama Fid Q ameamua kuwa-surprise mashabiki zake kwa kuwashushia video ya ngoma yake aliyoitoa kama interlude kwenye birthday yake ya mwaka 2015.

Inaitwa Kemosabe, nimeileta hapa karibu yako ili uweze kuenjoy nayo.

    MPYA# OFFICIALVIDEO: FID Q – KEMOSABE MPYA# OFFICIALVIDEO: FID Q – KEMOSABE Reviewed by Unknown on Januari 20, 2017 Rating: 5

    Hakuna maoni

    Post AD

    Propellerads