Header AD

Umeipata Hii ya Toleo Jipya la Simu ya iPhone 8,Eti Itakuwa na Uwezo wa Kutambua Sura za Watu..!!


Toleo lijalo la simu za Apple, iPhone 8, itakuja na uwezo wa kutambua sura za watu.

“Other features appear to include some form of facial/gesture recognition supported by a new laser sensor and an infrared sensor mounted near the front-facing camera and, as expected, should also finally include wireless charging,” alisema, Timothy Arcuri toka kampuni ya utafiti ya Cowen and Company.

Simu hizo zinatarajiwa kuzinduliwa September mwaka huu na zinatarajiwa kushuka bei zake kwa asilimia 30 hadi 50.

Umeipata Hii ya Toleo Jipya la Simu ya iPhone 8,Eti Itakuwa na Uwezo wa Kutambua Sura za Watu..!! Umeipata Hii ya Toleo Jipya la Simu ya iPhone 8,Eti Itakuwa na Uwezo wa Kutambua Sura za Watu..!! Reviewed by Unknown on Januari 20, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads