Pata viatu bora kabisa kutoka TELAVIV COLLECTION kwa gharama nafuu kabisa!!
Mara nyingi ili upendeze ama uwe "SMART" katika mavazi yako basi ni muhimu sana miguuni kuvaa viatu vyenye ubora kabisa. Kwa kutambua hilo na kuzingatia vigezo vyote (UBORA/GHARAMA), TELAVIV COLLECTION 2017 wanakuletea viatu vitakavyokufanya
ufarahie na upendeze pia. Telaviv Collection wanauza viatu vya kiume na vya kike, viatu vya watoto na watu wazima kwa gharama nafuu sana. Pia watakuletea viatu popote ulipo(kwa wateja wa Dar es salaam na Iringa mjini) iwapo utaridhia viatu ulivyopenda, basi huduma hii utaipata si mahali pengine bali TELAVIV COLLECTION!!
Kwa wateja wa Iringa mjini wasiliana na TELAVIV COLLECTION Kupitia 0628970050 au WhatsApp-0628970050
Tizama na FOLLOW akaunti yao INSTAGRAM: @telavivcollection
Picha hapo chini ni baadhi tu ya bidhaa za TELAVIV COLLECTION!!
Pata viatu bora kabisa kutoka TELAVIV COLLECTION kwa gharama nafuu kabisa!!
Reviewed by Unknown
on
Januari 13, 2017
Rating: