DOWNLOAD/TIZAMA SEASON (Korean series) : MOON LOVERS
Moon lovers!! Yeah, ni series mpya kabisa ambayo wahusika pia waweza waona kwenye "THE HWARANG-the beggining". Inahusu Historia ya zamani kabisa huko Goryeo, msichana wa umri wa miaka 25 to dunia ya kisasa anachukuliwa kwenda kuishi kwenye mazingira ya zamani sana karne ya za zamani. Ni SEASON nzuri kutzama,
Nikukumbushe tu kuwa Idea iliyotumika inafanana na ile SEASon ya "FAITH" (ntaandka post upate link ya kuiDownload)
KAZI KWAKO sasa kutizama ama kudownload Series hii hapo chini
complete season: moon lovers
Kwa shida yoyote ya kudownload ama ombi la SEASON gani tukuletea hapa jamvini, tafadhali follow ukurasa wetu INSTAGRAM, maswali yatajibiwa huko
DOWNLOAD/TIZAMA SEASON (Korean series) : MOON LOVERS
Reviewed by Unknown
on
Aprili 08, 2017
Rating:
Post a Comment