Header AD

NIKOHURUBLOG# TIZAMA NA DOWNLOAD SEASON NZIMA(Korean): THE REVOLT OF GUMIHO



Hii ni stori nzuri ya kusisimua na kuhuzunisha, inahusu mama mmoja ambaye ni nusu mtu nusu mbwamwitu(gumiho) anaolewa na binadamu, bahati nzuri wanazaa mtoto wa kike ambaye ni binadamu, mama huyu anasalitiwa na mumewe hivyo kupelekea mtoto wao kugeuka mbwamwitu. Mama huyu anapata msaada kwa chifu mmoja ambaye ana mtoto anayesumbuliwa na
maradhi ya muda mrefu!! CHIFU alipoenda kwa mganga anaambiwa ili mtoto wake apone sharti ale Ini la mtoto wa mbwamwitu, basi huyu mama(gumiho) anaanza maisha hatari ya kumkinga mwanaye aliyegeuka mbwamwitu asiuliwe na chifu. JE, ATAFANIKIWA????  Download/tizama yote hapo chini



TIZAM/DOWNLOAD: THE REVOLT OF GUMIHO

Kama kuna tatizo lolote katika kudownload nicheki INSTAGRAM ,niFollow kisha uliza chochote utajibiwa
NIKOHURUBLOG# TIZAMA NA DOWNLOAD SEASON NZIMA(Korean): THE REVOLT OF GUMIHO NIKOHURUBLOG# TIZAMA NA DOWNLOAD SEASON NZIMA(Korean): THE REVOLT OF GUMIHO Reviewed by Unknown on Aprili 08, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads