NIKOHURUBLOG# DOWNLOAD HAPA SERIES(Korean drama)> MISSING NINE Episode 01 hadi 08
Ni filamu nzuri inahuzunisha, usaliti pia comedy, INA EPISODE 16. Kwa kifupi ni kuwa kundi la wanamziki mastaa, meneja wao na mwanamtindo wao mmoja, hivyo wanakamilisha idadi ya watu 9, wanasafiri kwenda kwenye concert kwa kutumia usafiri wa ndege(PRIVATE PLANE) . wakiwa safarini ndege yao inapata hitilafu hivyo marubani wanaamua kuidondosha ndege baharini. Basi katika ajali hiyo mbaya , Serikali inaanza kuwatafuta hao watu 9
walopata ajali kwa kipindi cha miezi minne! bila mafanikio, filamu inaonesha jinsi hao watu 9 walivyojitahidi kujiokoa, lakini juhudu zao zitazaa faida, je serikali itawapata? lakini pia watu wa karibu na mastaa walopotea tiyari wameanza kurithi mali zao na hawa jamaa kuona serikali inatilia mkazo kuwatafuta hawa watu tisa, nao wanaandaa mkakati wa kuwaua iwapo watapatikana hai hawa missing nine(9)!! nisikuchoshe saana mdau wetu wa blog hii DOWNLOAD LINK ZIPO HAPO CHINI .songa nayo
EPISODE 1
EPISODE 02
EPISODE 03
EPISODE 4
EPISODE 05
EPISODE 6
EPISODE 07
EPISODE 08
USISAHAU KUTUFOLLOW INSTAGRAM
NIKOHURUBLOG# DOWNLOAD HAPA SERIES(Korean drama)> MISSING NINE Episode 01 hadi 08
Reviewed by Unknown
on
Aprili 11, 2017
Rating:
Post a Comment