Header AD

TABIA MBAYA YA JOHN DEPP

Inasemekana John Depp wakati wa Maandalizi ya The pirates of the Caribbean:Dead men tell no Tales Aliwasumbua Sana wenzake.


Mara kwa mara alikua akichelewa kwenda On set, na kuwafanya wenzake kila mara kuanza kumsubiri Ili aje.

Pia Taarifa zinasema, Jamaa mara kwa mara alikua Akigombana Na Ex-Wife wake kwa Sasa Amber Heard na Pia inataarifiwa Kua Alikua Akilewa mara kwa mara hivyo kusababisha maandalizi kuchelewa zaidi na zaidi.


Filamu hii itakua Ya Tano Toka Zianze kutoka, na Inatarajiwa kuoneshwa kwa mara ya kwanza katika cinema May 15 Mwaka Huu.
TABIA MBAYA YA JOHN DEPP TABIA MBAYA YA JOHN DEPP Reviewed by Unknown on Mei 14, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads