HABARI#Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aongoza Swala Ya Idd El Haji Viwanja Vya Mwembe Yanga Temeke Jijini Dar Es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hutuba katika swala ya Idd El Haji iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.
Swala ikiendelea.
Waziri Mkuu alivyojumuika na waislam wenzake katika swala hiyo.
Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji
Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiswali.
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
HABARI#Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aongoza Swala Ya Idd El Haji Viwanja Vya Mwembe Yanga Temeke Jijini Dar Es Salaam
Reviewed by Unknown
on
Septemba 12, 2016
Rating:
Post a Comment