Header AD

KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Magufuli waleta hofu

Ikiwa leo ni siku ya 89 tangu serikali ya Rais Magufuli isitishe ajira
13 Juni 2016 na rais kawaahidi vijana haitazidi miezi miwili na uhalisia kesho tunamaliza miezi mitatu toka zuio la ajira lilipotolewa 

Hii imezua sintofahamu ya nini hatima ya vijana hawa ambao wamekaa zaidi ya mwaka mmoja bila ajira na wamepewa kauli zitatoka mapema wawe na subira.JE NI KIPI KIPIMO CHA MAPEMA? Sasa tunaomba wahusika wawe wazi mwezi wa kutoa ajira na si kutoa kauli tata kama mapema ambayo kila mtu hufasiri anavyoelewa.
Natumaini ujumbe umefika

Kwa hisani ya: www.jamiiforums.com
KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Magufuli waleta hofu KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Magufuli waleta hofu Reviewed by Unknown on Septemba 12, 2016 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads