Header AD

NIKOHURU BLOG#Tetemeko la Kagera Laibua Tuhuma......UVCCM Waituhumu CHADEMA Kufanya Siasa Potofu, Wataka Uhakiki wa Misaada Ufanywe na JWTZ


Umoja  wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Kagera umelalamikia kitendo kinachofanywa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutumia janga la tetemeko la ardhi mjini hapa kufanya siasa na propaganda potofu. Pia umoja huo umeitaka na kuishauri Serikali kuacha kazi ya uhakiki, ugawaji wa misaada yote kwa waathirika ifanywe na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
NIKOHURU BLOG#Tetemeko la Kagera Laibua Tuhuma......UVCCM Waituhumu CHADEMA Kufanya Siasa Potofu, Wataka Uhakiki wa Misaada Ufanywe na JWTZ NIKOHURU BLOG#Tetemeko la Kagera Laibua Tuhuma......UVCCM Waituhumu CHADEMA Kufanya Siasa Potofu, Wataka Uhakiki wa Misaada Ufanywe na JWTZ Reviewed by Unknown on Septemba 19, 2016 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads