Header AD

Picha: Uhuru Kenyatta ajichanganya gengeni kula ugali na nyama choma

yvutikrsb14an1luh957e0c818a4a89
Rais Uhuru Kenyatta amekichoka chakula cha ikulu ndio maana aliamua kujichanganya na Senator Mike Sonko kwenda gengeni kula ugali na nyama choma.

Sonko alimpeleka rais huyo kupata chakula cha usiku kwenye soko la Kenyatta. Aliongoza na waheshimiwa wengine, Sakaja, Madam Shebesh na Kariuki walianza kwa kutembelea soko hilo kuzungumza na wafanyabiashara.
batjc4sr96kvo57e0c8c08a593


Baadaye Sonko aliweka picha akiwa na waheshimiwa hao na kuandika: Together with President Uhuru Kenyatta, Hon Sakaja, Hon Madam Shebesh, Hon Kariuki we made a surprise stop at Kenyatta Market interacted with traders and later on my bestfriend and our President akasema anahisi njaa so I decided to buy lunch at one of the kiosks. Lazima tuinue biashara za watu.”
Picha: Uhuru Kenyatta ajichanganya gengeni kula ugali na nyama choma Picha: Uhuru Kenyatta ajichanganya gengeni kula ugali na nyama choma Reviewed by Unknown on Septemba 20, 2016 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads