Je unajua simu yako ya Android inaweza fanya kazi kama remote control kwenye kifaa chochote kile bila kujali aina ya kifaa (TV,AC, Satellite na DVR).
Kuna aina nyingi sana za TV, AC, Satellite na DVR katika matumizi yetu ya kilasiku. Maranyingi imekuwa kazi ngumu sana kupata remote control ya kifaa chako pale inapo potea au kuharibika pia ningumu sana kukuta remote
moja unaweza kuitumia kwenye vifaa vyako vyote nyumbani bila kujali aina ya kifaa hicho.
Kama wewe nimtumiaji wa simu ya Android ingia Google Play na upakue App hii na uanze furahia kutumia simu yako kama remote kwa vifaa vyako vyote ndani ya nyumba yako.
Pakua hapa : IR Universal Remote
Toa maoni yako
Je unajua simu yako ya Android inaweza fanya kazi kama remote control kwenye kifaa chochote kile bila kujali aina ya kifaa (TV,AC, Satellite na DVR).
Reviewed by Unknown
on
Novemba 02, 2016
Rating:
Post a Comment