Header AD

Tovuti ya Man Utd Yaongoza Kutembelewa Duniani

Tovuti ya  Klabu ya Manchester United imeongoza kwa kutembelewa na watembeleaji wengi kwa mwezi  kwa mujibu wa ripoti ya UEFA.


Msimu uliopita Man Utd ilikuwa ikitembelewa na watu milioni 8.6 kwa mwezi ikifuatiwa na Arsenal yenye iliyotembelewa na watu 8.5 na nafasi ya tatu imechukuliwa na Klabu ya Liverpool.

Klabu 20 zinazotembelewa sana kwa mwezi ni:

1.Man Utd – 8.6m
2.Arsenal – 8.5m
3.Liverpool 7.7m
4.Real Madrid – 7.2m
5. Barcelona – 6.3m
6.Fenerbahce – 3.3m
7. Chelsea – 3.2m
8. Dynamo Kiev -3.1m
9.Bayern Munich – 2.9m
10. B Dortmund – 2.7m
11. Al Ahly -2.6m
12. PSG – 2.6m
13.Leicester – 1.9m
14. Tottenham – 1.8m
15. Marseille – 1.8m
16. Sao Paulo – 1.7m
17. Man City – 1.7m
18.Zenit – 1.6m
19. Galatasaray -1.6m
20.Juventus – 1.5m 



USISAHAU KU"Like' Fanpage yetu FACEBOOK
Tovuti ya Man Utd Yaongoza Kutembelewa Duniani Tovuti ya Man Utd Yaongoza Kutembelewa Duniani Reviewed by Unknown on Januari 13, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD

Propellerads